TANZANIA KUONGEZA USHIRIKIANO NA TAASISI YA THOMSON BUFFET KATIKA SEKTA YA AFYA NCHINI

Kutoka Newyork, Marekani.  Waziri wa Afya  Ummy Mwalimu amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa ushirikiano na serikali miradi ya kimataifa wa Taasisi ya The Susan Thompson Buffet Foundation Dkt. Tewodros Bekele Endailalu ili kuongeza miradi ya ushirikiano baina ya nchi hizo katika kuboresha Sekta ya Afya nchini.  Mazungumzo hayo yamefanyika katika kikao Cha Pembezoni